bila shaka mkuu................ kama una wasiwasi na hili, kawaulize wale ambao hawajajaaliwa kuolewa watakwambia.................. usiwaulize mabinti wanaotafuta wachumba, ........................wala watalaka waliokwishajikubali kuishi hivyo, ................bali waulize wale ambao hawajawahi kabisa kulipiwa nahari, hata ya maneno(ahadi) tu...................... wale ambao hawajawahi kumtambulisha mtu yoyote kwa wazazi/walezi kama mchumba/mume................... wale wanajithamini na kujitambua kama wasichana/wanawake.................. na walio tayari kubeba dhamana ya usichan/umama hapa duniani................ najua unawafaham,u vizuri ninaowaongelea, ............. yes, haohao................. kawaulize hao watakuambia ukweli.......................
kuolewa ni kuchaguliwa ............. ni kukubaliwa!.................. ni kupendwa ni................ kuhitajika ............. ni kutakwa............ ni kuthanimiwa.................ni kukaribishwa................ ni kulakiwa................ ni kuombwa....................ni kubembelezwa................. ni kubusiwa...................... ni kukumbatiwa................. ni kuchukuliwa..............ni kutunzwa.................... naam, na zaidi ya hayo!!............
sasa kwa nini unadhani si bahati mpendwa???.........................