Nashindwa kumwoa kwa sababu ya mtoto

jamani.................... mbali na ubeijing, hata kwa mimi mutu na mutoto ngumu kumesa aisee..................

jamani masistaz............... jitahidini kubana naniliu zenu ili angalau mfikie ndoa asee................... mnaona sasa bahati zinavyowakimbia mchana kweupeee??!!!...................
 

Asante ndugu kwa ushauri wako.
 
Reactions: SMU

Kuolewa nako ni bahati?
 
Kwa hiyo tittle tu inaelekea hujampenda huyo binti
 

Hapo kwenye red: Je baba wa huyo mtoto yupo? Kama yupo si kwamba anaendelea naye kimya kimya huku akiwa na wewe? Mwanaume anayeoa mwanamke mwenye mtoto nafikiri yuko tofauti na wanaume wengine - yaani 'not serious' na maisha yake!
 
Watu wengine wanapenda ku complicate mambo tu.

Jamaa kuoa hataki ila anataka amege tu kisha asepe
Sasa na mademu wa siku hizi bila gia ya kuoa huwezi mvua chupi kirahisi
 
Haswaaa vinginevyo utaishia kumegwa ovyo ovyo na kutuletea vimjomba vikiwa na baba tofauti tofauti

Kwahiyo wanaoolewa na kutoka nje ya ndoa zao wao hawamegwi hovyo hovyo? Na watoto wanaozaa nje ya ndoa hawana baba tofauti tofauti?

Bado sijaona bahati hapo.
 

Nakushukuru sana mwanajamii kwa ushauri wako ndugu yangu.
 
Folow ua heart ila wht if huyo ambaye hatakua na mtoto akawa hana mapenz ya dhati...
 
Hujampenda, kama huwezi waachie wengine ambao watampenda mama na mtoto.
 
Achaneni upesi na hata ukioa mwingine msiendeleze mahusiano kwa siri.
Hivi kwa mfano ukimpa mimba huyo binti itakuwaje tena hapo?
 
sijui kabila lako,lakini uhayani ukioa mwanamke aliyewahi kuzaa au kuolewa wanasema 'washwela enyailya' na huruhusiwi 'kuramya' na ukifa unazikwa na 'omugogo' ku symbolize kwamba umekufa 'bila kuoa'.
yaani 'nyailya' ni mwanamke ambaye keshazaa kabla ya ndoa au kaachika,'kuramya' ni special greeting ya wanandoa wanaume,'omugogo' ni kipande cha shina la mgomba.
 
kwanza mshukuru mungu kwa kupata mtu anayekupenda.pili shukuru kuwa una uhakika huyu demu ana kizazi maana unaweza kuoa demu ambaye hajazaa kumbe hana uwezo wa kuzaa. We unaona kipi bora? Kuoa demu ambaye kashatoa mimba tatu bila wewe kujua na kuoa demu ambaye ana mtoto mmoja na hajawahi kuharibu kizazi chake.pima mambo kwa akili sana. Kama alizaa mbwa usioe ila kama alizaa binadamu kama wewe oa huyo ndo mwanamke.
 
Kuolewa nako ni bahati?

bila shaka mkuu................ kama una wasiwasi na hili, kawaulize wale ambao hawajajaaliwa kuolewa watakwambia.................. usiwaulize mabinti wanaotafuta wachumba, ........................wala watalaka waliokwishajikubali kuishi hivyo, ................bali waulize wale ambao hawajawahi kabisa kulipiwa nahari, hata ya maneno(ahadi) tu...................... wale ambao hawajawahi kumtambulisha mtu yoyote kwa wazazi/walezi kama mchumba/mume................... wale wanajithamini na kujitambua kama wasichana/wanawake.................. na walio tayari kubeba dhamana ya usichan/umama hapa duniani................ najua unawafaham,u vizuri ninaowaongelea, ............. yes, haohao................. kawaulize hao watakuambia ukweli.......................

kuolewa ni kuchaguliwa ............. ni kukubaliwa!.................. ni kupendwa ni................ kuhitajika ............. ni kutakwa............ ni kuthanimiwa.................ni kukaribishwa................ ni kulakiwa................ ni kuombwa....................ni kubembelezwa................. ni kubusiwa...................... ni kukumbatiwa................. ni kuchukuliwa..............ni kutunzwa.................... naam, na zaidi ya hayo!!............

sasa kwa nini unadhani si bahati mpendwa???.........................
 
ndugu yangu mbona unachekesha kwani mtoto anahusu nini katika ndoa wewe cyo mwoaji
 

What a bunch of nonsense. Watu wanaolewa wanaishia kuachwa ndani wakati mwanaune anaenda kwa nyumba ndogo zake unaniambie eti ni "kupendwa, kuthaminiwa" na blah blah nyingine? Bado sijaona bahati ilipo.

Kuoa na kuolewa ni kuoa na kuolewa, nothing more, nothing less. Bahati ipo kwenye kumpata mtu anaeelewa maana ya mahusiano ya watu wawili na anaeheshimu muungano wao. Hayo mengine ni ubatili mtupu.
 

duh!!................. nimekoma aisee...........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…