Nashindwa kupata huduma ya Tigopesa, shida nini?

Hilo swali wa kuliuliza alikuwa Melo siyo wewe ambaye umekaribishwa pia,hivi umewahi kuwapigia Tigo customer care ukafanikiwa kuongea na muhudumu?

Tena sahiyo hiyo wala hawaniwekei yale matangazo sijui bonyeza ngapi.. karibu ndugu mteja wa thamani tutakuunganishaaa...
 
Hiyo shida nami nimekutana nayo asubuhi yaleo nikawapigia wakanijibu kua kuna shida yamrandao ila soon itakua poa kwl majira haya ya sa6 kasoro nimefanya muamala vizur tu bila shida yoyote ila TIGO WALICHOTUFANYIA SIO POA ,KIPINDI CHAKATI KATI HAPA ILIKUA KUTUMA PESA TIGO KWENDA TIGO NI BURE SASA KUMBE ILIKUA NI OFA TU NAIMESHAISHA KUDA WAKE , LEO WAMENIFYEKA ADA YAKUTUMIA HADI NIKASONYA
 
tiGO hiyo
 
Back
Top Bottom