Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu.
Nisaidieni wakuu Nifanyeje nimrejeshe, Nampenda sana tatizo kaniblock kila mahali, kila namba nikiitumia kumpigia ananiblock hataki hata kuongea na mimi😢 Yeye ndio furaha yangu sidhani kama naweza kumpata mwingine ninayempenda kama nimpendavyo huyu mwanamke.
Bora nibaki hivi hivi kuliko kutafuta mwanamke mwingine tofaauti yake. Nataka kukaa na kumbukumbu zake maishani mwangu siku zote. Naombeni ushauri wakuu Nifanyeje kumpata tena mpenzi wangu huyu? Kila nikimpigia ananiblock. Nifanyeje mimi?
I'm in so much pain wapendwa 😢