Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

dada grace

Member
Joined
Aug 17, 2017
Posts
54
Reaction score
21
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba. Nilienda Hospitali nikaambiwa niko vizuri, naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bibie...Haya madawa ya uzazi wa mpango ni Majanga sana.... Nenda hospitali umuone daktari wa magonjwa ya wanawake au tafuta sanitarium clinic ya kueleweka..huenda wana tiba mbadala
 
Back
Top Bottom