dada grace
Member
- Aug 17, 2017
- 54
- 21
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba. Nilienda Hospitali nikaambiwa niko vizuri, naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app