Kiukweli njia nyingi za uzazi wa mpango hazipo salama. Na wanawake wengi mara watoapo njia hizo kwa lengo la kupata ujauzito huwa ni tabu.
Niliwahi kukaa na padri mmoja na alinieleza kwa undani sana. Wazungu hawatumii huo uchafu bali wanatuletea sisi. Na fact, si kwamba muda unaotumia njia hizo kwamba hushiki mimba, lahasha, unashika but inaharibiwa na njia hizo and thats why walio wengi wanapotumia njia hizi hata bleed hukata kabisa.
So itakuchukua muda kiasi kurudisha mzunguko wako wa kawaida. Ukienda kwa wataalamu kuna nadhani kuna njia za kurudisha mzunguko wako. Nikutakie kila lakheri ila jaribu kuzikwepa njia hizo.