Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Haziwez ila ndo zina overcontrol izo hormone. Zingekuwa na hayo madhara basi tusinge tumia hosptal. Ila ina onekana hauku pata ushauri mzur kabla yaku anza tumia hii njia ya uzazi wa mpango. Kwan una mtoto..!? Na pia kuna uwezekano ukana na matatizo mengine ya uzazi lakni ume weka imani kwnye depo. Muda mwngine unaweza kuta ni ovary zina zalisha mayai ambayo hayaja komaa, wakati mwngine linakuwa tatizo kwnye mirija ya uzazi.
Asante na mtoto mmoja miaka sita Mr yuko vizur alipimwa,sikuelezwa mabaya yake
 
Ndio zinaweza kua sababu zaww kutokupata mimba.

Sindano nimbaya sana ktk upangaji wa uzazi ...nibora vidonge vya majira.

Nakam umepimwa umeambiwa uko poa ktk maungo yauzazi ,,,,, ,basi inawezekana nisababu ya sindano ,,, au mwanamme ulonaye ndo mwenye shida.
 
Umri wako na muda uliotumia,hizo sindano wala hazina uhusiano na tatizo lako la kutozaa!
Ushauri ni huu;

Mpangilio wa hedhi upo sawa!? Km upo sawa unafahamu siku za hatari yaani siku za kukutana na mmeo kwa lengo la kupata mtoto!?? Km majibu yote ni NDIYO basi kuna haja ya kwenda kuwaona madaktari.

Kwa wewe utamuona daktari wa magonjwa ya wanawake,atakuandikia vipimo kulingana na historia ya tatizo lako. Baada ya uchunguzi km utaonekana huna tatizo,basi tatizo litakuwa kwa baba.

Hapa kwa baba ndo kwenye shida kubwa,kwa kawaida mwanaume km anafanya tendo la Ndoa na kufikia mshindo,ni vigumu sana kumshawishi aende kwenye tiba ya uzazi. Wengi wanaamini km anatoa manii(sperms) basi atajua ana uwezo wa kuzaa na km hampati mtoto tatizo hilo litaangushiwa kwa mama!

Mwanaume ili awe na uwezo wa kuzaa,mbali na kuwa na mbegu tu za kiume,mbegu hizo pia zinapaswa kuwa hai na zenye kasi..

Mwanaume anapofikia mshindo,km mbegu zake ni hafifu(zisizo na mikia) hushindwa kuogelea kulifikia yai la mwanamke kwa ajili ya kulirutubisha na hivyo hufia njiani..

Mshauri mkamuone daktari wa magonjwa ya wanaume,atapima uwezo wa mbegu za baba km zina mikia.

Iwapo baba nae atakuwa hana tatizo,basi tatizo lipo kwenye hesabu ya siku ya kutungisha mimba. Km ukiijua,baba inabidi awe na mbegu za kutosha siku hiyo,awe amekula vizuri na hana mawazo ya kukera. Asiwe amefanya tendo la Ndoa angalau siku 2 kabla. Km hujui siku ya kupata mimba,nambie hapa hapa mzunguko wako ni wa siku ngapi ili nikuambie siku ya kukutana na baba. Mzunguko wako unahesabu kuanzia siku uliyoona damu mpaka siku ya kuona damu mwezi unaofuata...!

Pole kwa maelezo marefu....
Asante tuna mtoto mmoja miaka sita,nilitumia sindano mbili kwa miez sita,mzunguko haukuwa sawa lkn nilivoenda Hosptal nilicheki vipimo vya homon FSH na PRL iko sawa,Dk akanipa duphaston vidonge 14 kuanzia siku ya 11 ya MP nikafanikiwa kupata tens baada ya siku 28 ,baada ya hapo akanipa metformin vidonge 30 mwez mzima,ovamit vidonge kumi HIV nilianza siku ya tatu pia nilkunywa pamoja na vitamin e,baada yahapo akanipa p natal mwez mzima,ndo Niko naendelea navo ss hizo p natal na metformin,ilipofika siku ya 16 nilipima OVULATION KIT ikaonesha positive nikasex na Mr Jana nilkuwa cku ya 19 nikachek ikaonyesha mstar kwa mbal sana,au kitakuwa kilidanganya ? Leo nipo siku 20 trh ya bleed mpaka trh 25,asante nahtaj ushaur wako
 
Umri wako na muda uliotumia,hizo sindano wala hazina uhusiano na tatizo lako la kutozaa!
Ushauri ni huu;

Mpangilio wa hedhi upo sawa!? Km upo sawa unafahamu siku za hatari yaani siku za kukutana na mmeo kwa lengo la kupata mtoto!?? Km majibu yote ni NDIYO basi kuna haja ya kwenda kuwaona madaktari.

Kwa wewe utamuona daktari wa magonjwa ya wanawake,atakuandikia vipimo kulingana na historia ya tatizo lako. Baada ya uchunguzi km utaonekana huna tatizo,basi tatizo litakuwa kwa baba.

Hapa kwa baba ndo kwenye shida kubwa,kwa kawaida mwanaume km anafanya tendo la Ndoa na kufikia mshindo,ni vigumu sana kumshawishi aende kwenye tiba ya uzazi. Wengi wanaamini km anatoa manii(sperms) basi atajua ana uwezo wa kuzaa na km hampati mtoto tatizo hilo litaangushiwa kwa mama!

Mwanaume ili awe na uwezo wa kuzaa,mbali na kuwa na mbegu tu za kiume,mbegu hizo pia zinapaswa kuwa hai na zenye kasi..

Mwanaume anapofikia mshindo,km mbegu zake ni hafifu(zisizo na mikia) hushindwa kuogelea kulifikia yai la mwanamke kwa ajili ya kulirutubisha na hivyo hufia njiani..

Mshauri mkamuone daktari wa magonjwa ya wanaume,atapima uwezo wa mbegu za baba km zina mikia.

Iwapo baba nae atakuwa hana tatizo,basi tatizo lipo kwenye hesabu ya siku ya kutungisha mimba. Km ukiijua,baba inabidi awe na mbegu za kutosha siku hiyo,awe amekula vizuri na hana mawazo ya kukera. Asiwe amefanya tendo la Ndoa angalau siku 2 kabla. Km hujui siku ya kupata mimba,nambie hapa hapa mzunguko wako ni wa siku ngapi ili nikuambie siku ya kukutana na baba. Mzunguko wako unahesabu kuanzia siku uliyoona damu mpaka siku ya kuona damu mwezi unaofuata...!

Pole kwa maelezo marefu....
Ute Wa uzazi siupati tangu nitumie hayo madude,nilikuwa nableed muda mrefu ndo nikapewa duphaston
 
Sababu ni hizo sindano huchukua muda mrefu kuisha kwasasa usipaniki zitaisha tu nawe utazaa hata mimi yalimtokea mwenzangu lakini baadaye tulipata watoto vumilieni yatakwisha
Asante sn alikaa miaka mingap
 
Mi nilishasema hayo mashindano ni balaa na vile vidonge ni balaa nyie mnawasikiliza watu wa uzazi wa mpango wale ni mashetani ni bora ukahesabu siku zako tu na sio vinginevyo
Pole niko na mmoja hapa nae analalama huu mwaka wa 5 sasa
Hata ukienda hospitali hakuna msaada watabaki kukuambia tu vitaisha vyenyewe basi

Mkatoliki safi
Shukran
 
Unamuda gani toka sindano ya mwisho??sababu ukutumia artificial way ya uzazi wa mpango lazima utapata hormone imbalance (sio zote )hivo baada ya kuacha lazima ichukue muda mwili kurudi kwenye hali ya kawaida wengine huchukua miezi6 mpaka mwaka hormone kurudi kwenye hali yake
Asante Nina miaka miwil tangu niache kutumia
 
Ndio zinaweza kua sababu zaww kutokupata mimba.

Sindano nimbaya sana ktk upangaji wa uzazi ...nibora vidonge vya majira.

Nakam umepimwa umeambiwa uko poa ktk maungo yauzazi ,,,,, ,basi inawezekana nisababu ya sindano ,,, au mwanamme ulonaye ndo mwenye shida.
Sasa hakuna Tiba yakutibu
 
Mume yuko OK pia na mtoto mmoja
 
Back
Top Bottom