Asante tuna mtoto mmoja miaka sita,nilitumia sindano mbili kwa miez sita,mzunguko haukuwa sawa lkn nilivoenda Hosptal nilicheki vipimo vya homon FSH na PRL iko sawa,Dk akanipa duphaston vidonge 14 kuanzia siku ya 11 ya MP nikafanikiwa kupata tens baada ya siku 28 ,baada ya hapo akanipa metformin vidonge 30 mwez mzima,ovamit vidonge kumi HIV nilianza siku ya tatu pia nilkunywa pamoja na vitamin e,baada yahapo akanipa p natal mwez mzima,ndo Niko naendelea navo ss hizo p natal na metformin,ilipofika siku ya 16 nilipima OVULATION KIT ikaonesha positive nikasex na Mr Jana nilkuwa cku ya 19 nikachek ikaonyesha mstar kwa mbal sana,au kitakuwa kilidanganya ? Leo nipo siku 20 trh ya bleed mpaka trh 25,asante nahtaj ushaur wako
Dada grace pole,majukumu yalizidi sikurudi tena. Umesema mna mtoto 1 wa miaka 6, ulizaa na huyo Mume uliyenaye!? Km jibu ni ndiyo,basi tatizo kubwa lipo kwako km hakupata hitilafu yoyote mumeo.
Km tatizo lipo kwako,linatokana na mambo haya mawili muhimu.
1-Wasiwasi,umeshaanza kuwa na hofu ya kupoteza uzazi hasa kutokana na maneno ya mitaani yanayotokana na tafsiri hasi ya Dawa hizi za uzazi wa mpango. Me nataka nikuondoe hofu,Dawa hizo hazina madhara hayo unayoelezwa mitaani. Madhara kweli yapo,lkn ni kwa kiwango cha kawaida km ilivyo kwa Dawa zingine. Dawa zimefanyiwa utafiti zikaaminiwa ndo maana zimeruhusiwa kwa matumizi ya binadamu.
Hivyo ondoa hofu na Mume mwambie asikuongeze hofu kwa kukupa lawama juu ya hilo. Kuwa mwenye furaha,hasa kipindi mnakutana kwa siku za kupata mimba.
2-ktk Maelezo yako,umesema mpangilio wako wa hedhi haukuwa sawa ulikuwa unaenda kwa muda mrefu. Na unasema daktari alikupa dawa,je! Baada ya kupewa dawa ulirudi ktk mpangilio wako wa kawaida!?? Km jibu ni ndiyo,basi kuna tatizo la kujua kwa usahihi siku ya kupata mimba. Nataka nikupe hii formula km utaizingatia...!
Hesabu vizuri mpangilio wako,yaani weka kalenda yako. Siku zako unaanza kuhesabu kuanzia siku ya 1 kuona damu mpaka siku utakayoona damu mwezi unaofuata.
Hesabu vizuri bila kukosea,km mzunguko wako ni wa siku 30,hesabu kuanzia siku ya mwisho yaani hiyo siku ya 30 kurudi nyuma mpaka siku 15. Hiyo siku ya 15,Mume awe nae na mbegu za kutosha,awe hajafanya angalau kwa masaa 48 kabla ni uhakika utapata mimba. Vivyo hivyo km mzunguko wako ni wa siku 28,hesabu kuanzia siku ya 28 mpaka siku ya 15. Hiyo siku ni 100℅ kupata mimba km hakuna tatizo lingine.
Mwisho;km huyo mtoto siyo wa baba huyo,mshauri nae amuone daktari hata km utakuwa na taarifa kwamba aliwahi kuzaa nje. Lkn pia hata kwa mtoto uliyenae,ww ndo unajua kwa uhakika nani baba ya mtoto,maana unaweza kuwa unasema ni wake kwa sababu ulipata mimba ukiwa kwake lkn pengine ulikuwa unachepuka..! Ahsante.