Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
uliishawahi kuwa na mtoto? au ndio mara ya kwanza hii unatafuta mtoto..!!
 
Sasa hakuna Tiba yakutibu
Unajua Hizi sindano zinaenda kuondoa ile balance ya Oestrogen hormone mwili ,,badala yake mwili wamama unakua na progesterone nyingi sana..

Sasa baada ya kuacha izi sindano huchukua mpaka miaka miwili Mwili wamama ,kuweza kurudi ktk hali yake yaawali . yaaan kuwepo na balance of hormone kati ya Oestrogen na Progesterone .

Kama ,,unatest positive in ur ovulation lkn hushiki mimba ,,, basi badili siku za sex ,,jitahidi baada ya kuelewa mizunguko wako vzuri (especially siku za Ovulation ) basi sex na Mr wako kila siku katika izo siku za Ovulation ( 7 days).

Sababu umeshutumia madawa ya kubalance mwili NA vitamin vinavyosapport Ovulation ..nivema pia ubadili life style yako--

Kunywa maji sanaaa
Kula matunda sana na mboga za majani .
Kunywa maziwa

Usiwe mtu wa wasiwasi nawala mume asikugombeze kwann hushiki mimba.
Wakati mwinginw mimba unatwgemea na ukaribu wa mwili ,,roho ,,na nafsi ktoka kwa mwenzi wako. Lkn km mtakua mnasex nahofu ya kupata au kutopata ,,hii itakuathiri wew roho .

Above all ,,my dear please Be patient na usichoke kumuomba Mungu...

Hizi dawa Mdada Mara nyingi anashauriwa atumie mwanamke ambaye hana mpango wakuza kabisaaaaaaa.
 
Navyoona, tatizo lako kubwa ni huo wasiwasi wako. Mmoja wa wake za Idi Amini alishindwa kabisa kupata mimba kwa sababu ya hofu aliyokuwa nayo juu ya mumewe. Wewe una hofu kuhusu madawa uliyotumia na pia una stress za kutopata mimba kwa muda tangu uache kutumia hizo dawa. Nenda tena kwa daktari ambaye anaweza kukupima na kujua kama huna hormone imbalance. Kama unayo kuna dawa za kurekebisha hiyo hali. Lakini, la msingi zaidi amini kwamba mwili wako utarudia hali ya kawaida. Kama bado unaona unashindwa kutuliza mawazo, nenda kwenye maombi ambapo utapata ushauri wa kiroho. Na tafuta namna ya kumshauri mumeo mpaka akubali mwende wawili kwa daktari. Mwanaume anaweza kupata mtoto "kwa bahati nzuri" japo sperm count yake na nguvu za mayai yake ni ndogo kwa sababu tu siku ya tendo hilo ilikuwa "wezeshi" (kwa mfano siku ambayo anapoachia mbegu haziendi mbali sana kabla moja haijakutana na yai lako). Tafuta pia vyakula ambavyo vinaongeza "urijali" kwa mumeo uwe unampa.
 
Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo ujaribu na kwangu labda jamaa anakojoa hewa..! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilisha wahi kuwa na demu akaniambia amechoma sindano za uzazi wa mpango duh.... Fasta nikaachana nae.....
 
At this age mwanaume asinidanganye nijaze mauzauza kwenye kizazi nooo, tunahesabu kama tarehe hazieleweki Kuna nailoni zile classic na zenyewe mara mojamoja aisee.

Wadada kuweni makini sana unajidunga sindano, vidonge, vitanzi ili umpe all the time!! Je na hayo yote hajawahi kuchepuka??? Week 1 anashindwa kuvumilia ukamkojoza kwa mechanism nyingine?

Ndo mnakuta matumbo makubwaaa, matiti hayana ushirikiano! Ladha ya K haieleweki ni rosti au mchemsho!!

Japo myafanye kwa busara sio ubabe.
 
Aisee hii stress uliyonayo ni kiboko,ulichopost kinahusiana vp na haja ya mtoa mada?
 
Back
Top Bottom