Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Well kama mume yupo OK sasa lipo kwa upande wako.Mume yuko OK pia na mtoto mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well kama mume yupo OK sasa lipo kwa upande wako.Mume yuko OK pia na mtoto mmoja
uliishawahi kuwa na mtoto? au ndio mara ya kwanza hii unatafuta mtoto..!!Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Hizi sindano zinaenda kuondoa ile balance ya Oestrogen hormone mwili ,,badala yake mwili wamama unakua na progesterone nyingi sana..Sasa hakuna Tiba yakutibu
Nilitumia mbili sawa na miez sitaHizo sindano ulitumia wakati umeolewa au ulikuwa bado
Nilikuwa nimeolewa baada yakujifungua kwa kisu ndo nikatumiaHizo sindano ulitumia wakati umeolewa au ulikuwa bado
Nakubaliana na wwWell kama mume yupo OK sasa lipo kwa upande wako.
Njoo ujaribu na kwangu labda jamaa anakojoa hewa..! [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba nilienda Hosptal nikaambiwa niko vizuri naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsantePole sana
UsijaliHahah niletee mgonjwa huyo
Pole na Hongera. When dark and light meets.ndugu yangu nina uzaz wa SIMBILISI ! huu uzaz wangu hapana jaman !mie ht huwa nashindwa jua km nina safe dys tafuran
NdioUmeolewa kwanza?
Aisee hii stress uliyonayo ni kiboko,ulichopost kinahusiana vp na haja ya mtoa mada?At this age mwanaume asinidanganye nijaze mauzauza kwenye kizazi nooo, tunahesabu kama tarehe hazieleweki Kuna nailoni zile classic na zenyewe mara mojamoja aisee.
Wadada kuweni makini sana unajidunga sindano, vidonge, vitanzi ili umpe all the time!! Je na hayo yote hajawahi kuchepuka??? Week 1 anashindwa kuvumilia ukamkojoza kwa mechanism nyingine?
Ndo mnakuta matumbo makubwaaa, matiti hayana ushirikiano! Ladha ya K haieleweki ni rosti au mchemsho!!
Japo myafanye kwa busara sio ubabe.