dada grace
Member
- Aug 17, 2017
- 54
- 21
Mpo wengi,kuna mwingine namjua yy hata cku zake kuziona ni kwa mwaka mara mbili.
Subiri wataalam watakuja
Asante loveduh mbili tu! mie nakushauri tulia usiwe na stress !ukiwa na stress ngumu sana kupata mimba !relax my dear !utapata tu
Vp ulifanikiwa kupata mtotoduh! mie nimewah tumia kwa miez 6 hayo masindano nikaona naumwa kichwa nikaacha !ila nikawa sawa tu !yaan inapokuja kwenye suala la uzaz wa mpango mie huwa nachoka kbs !pole yake
AsantePole sana bibie...Haya madawa ya uzazi wa mpango ni Majanga sana.... Nenda hospitali umuone daktari wa magonjwa ya wanawake au tafuta sanitarium clinic ya kueleweka..huenda wana tiba mbadala
Tumeenda hatuna tatzoNenda na mumeo mkapime wote mtajua wapi pa kuanzia
usikate tamaa
Huku kwenye ma swala ya uzazi mimi si sana