Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Shida sana aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida sana aise
Yani haya majitu yanayolalamikia Voda natamani niyakatege makofi kinoma
Si wewe tu, tupo wengi sana tunaoibiwa!
Nasikia wamepata MD/CEO mpya.
Kuna uwezekano mkubwa ukawa Matumizi yetu ni makubwa lakini tatizo letu Kubwa Watumiaji huwa tunapenda zaidi Kulalamikia Kampuni hizi.Nimekuwa nikitumia mtandao was Vodacom tangu mwaka 2000 na kwa ujumla nimekuwa nikiridhishwa na huduma. Lakini katika siku za karibuni nimeanza kutilia shaka huduma zake, hususan vifurushi vyao. Nasema kwa sababu siku hizi nikinunua kifurushi cha sh 2,500 kinachonipa dk 150 za kutumia wiki nzima, baada ya siku 2 au 3 na nikiwa nimepiga simu chache mara ujumbe kuwa kifurushi kimekwisha. Jambo hili limekuwa likijitokeza mara kwa mara. Mwanzoni nilidhani ni nahati mbaya lakini naanza kupata shaka kwamba naibiwa, tena mchana kweupe. Swali kwa wale wanaotumia mtandao huu, je wapo ambao wanaoibiwa kama mimi?
Niko huku halotel mkuuUmehamia wapi tukufuate?
eKuna uwezekano mkubwa ukawa Matumizi yetu ni makubwa lakini tatizo letu Kubwa Watumiaji huwa tunapenda zaidi Kulalamikia Kampuni hizi.
Mnalalamika kwa sababu ya umasikini kwenye account nina zaidi ya 70m siwezi kuanza kulia lia na bundleAkiipata aje akupande mgongoni??
Mimi huwa naweka kifurushi cha Tshs 3,000/- Dk 245 Voda kwa Voda na dk 240 mitandao yote, kwa siku 7Ujinga wa hivi vifurushi vya voda na kutoa dakika chache sana za kwenda mitandao mingine tofauti na hapo awali/mitandao mingine.
Kwa mfano,kifurushi cha wiki cha sh 2000(ofa maalumu) wanakupa dakika 150 za voda kwenda voda na dakika 15 tu za mitandao mingine. Hivyo, usipokuwa makini, unaweza kujikuta unazimaliza hizo dakika 15 ndani ya Siku moja au mbili wakati umenunua kifurushi cha wiki cha shilingi 2000 na ukilalamika watakwambia vigezo na mashariti vimezingatiwa.
Kifurushi hiki kina nafuu kwenye kutoa MB tu ambapo wanakupa GB moja utumie ndani ya hizo siku 7.
Usingekuwa JFMnalalamika kwa sababu ya umasikini kwenye account nina zaidi ya 70m siwezi kuanza kulia lia na bundle
Kwani mlioko humu mna tatizo gani?Usingekuwa JF
Wote hatuna 70mKwani mlioko humu mna tatizo gani?