Naona amewagusa pale pale mafisadi wenzie ndo maana mnaruka Kwa nguvuImebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia polepole ila sisi walala hoi tumempuuza polepole na mafisadi wenzie
Huu mfumo wa Rais kuwa mwenyekiti wa chama unatengeneza kundi kubwa mchanganyiko la watu mbalimbali kumiliki siri za dola. Ni rahisi sana mtu wa mbali kupenya na kuisogelea ikulu kwa kutumia njia za chama kuliko hata mtumishi mwandamizi wa serikali. Hawa watu wa chama sidhani kama hata wanakula viapo serious vya nchiImebaki kundi dogo la ambao angalau wana uhakika wa kesho yao ndo wanamfatilia polepole ila sisi walala hoi tumempuuza polepole na mafisadi wenzie