Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee acha hizo kwani Hawa wa mtandaoni hana maku aka vipi?huyu wa mtandaoni si ndo yule unaeishi nae mtaani ama?Wanawake wa mitandaoni sio mkuu umebugi
Mkuu tuonyeshe shemejiSina la kusema, Asante JF narudia tena Asante JF you are great ooh!! mpaka ntaongea kichaga sasa Aikaa JF!! ...
Guys JF is real..if you are 100% real basi una fungu lako kama ukitaka!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah umeniacha hoi aseee. Ila avatar yako c haba wacha na mmi nianze pricess.Wee acha hizo kwani Hawa wa mtandaoni hana maku aka vipi?huyu wa mtandaoni si ndo yule unaeishi nae mtaani ama?
Kweli kabisa. Mwanamke au mwanaume waweza mpata kokote.Inategemea ni wa aina gani umtakae.Wee acha hizo kwani Hawa wa mtandaoni hana maku aka vipi?huyu wa mtandaoni si ndo yule unaeishi nae mtaani ama?
wacha uongo wakoWanawake wa mitandaoni sio mkuu umebugi
Mmmmmh why? Wahuku wana mapembe mkuu?Wanawake wa mitandaoni sio mkuu umebugi
Vipi hawa wanaume wa mitandaoni? Una ushauri gani kwa sisi vigori?Wanawake wa mitandaoni sio mkuu umebugi
Hv kigori si bint ambaye hajaguswa kabisa yaani yupo sealed?Vipi hawa wanaume wa mitandaoni? Una ushauri gani kwa sisi vigori?
Teh..mjini tupo vigori na watoto juuHv kigori si bint ambaye hajaguswa kabisa yaani yupo sealed?
Mmmh uliirenewTeh..mjini tupo vigori na watoto juu
Manake kwa technologia ya saiv ya mchina bikra saiv ni renewableNo. Ni msemo tu
Kuwa tight may be, je damu itakuwepo?Manake kwa technologia ya saiv ya mchina bikra saiv ni renewable
Damu si ipo ile fake wanawake wengi wanatumia siku hz akitaka kukunyima papuchi anapaka sijui ukichek hv mwenyewe unaifunika unakaa pembeniKuwa tight may be, je damu itakuwepo?