Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

Wanawake wa mitandaoni sio mkuu umebugi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ww mwenyewe sasa hivi umeshakuwa wa mtandaoni, vip dem wako akuache au? Ivi kwan hawa wanawake wa mtndaoni wanaishi wap? Au ukipata dem uraiani akiwa akiwa na account fb, insta, jf n.k , ndo utamuacha kisa ni wa mitandaoni , me nahisi hizi ni njia tu za kukutana na watu, kama vile unavyokutana nao kwenye bus, shulen, mtaani n.k, usiwe na mawazo mgando

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply... Tupe mrejesho mkuu, namimi nimepata girlfriend jf, mtoto mkali sana
 
Back
Top Bottom