Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa,cha msingi mm nikubaliane na ww.hzo risks niachie mimi.Mbona mimi muwazi siku zote? Mimi ni mke wa mtu so come at your own risk!
Nishakuachia risks, karibu!Hahahaaa,cha msingi mm nikubaliane na ww.hzo risks niachie mimi.
Ahsante mkuu.Nishakuachia risks, karibu!
Nimejiunga aug 2, nimeanza kuchat nae aug 3, tuko zaidi ya serious. Mungu ni mwema. This is true love. Hamna lisilowezekana kwa mungu. Naishukuru sana JFR.JF umejiunga Aug 2,2017.ushapata mwanaume ndani ya mwezi huu huu,na pia yupo kwenye harakati za kukulipia mahari.
kila lakheri
Inasikitisha saaana,Nimejiunga aug 2, nimeanza kuchat nae aug 3, tuko zaidi ya serious. Mungu ni mwema. This is true love. Hamna lisilowezekana kwa mungu. Naishukuru sana JFR.
Yah. Ni weeks tu. Inawezekana. Tena sana.Inasikitisha saaana,
yaan hata mwezi hamjamaliza,
kwahiyo wapi sio cheche? point yangu ni ile ile humu tupo watu wale wale unaokutana nao mtaani mwingine hajaelewa nyimbo zako basi anaona akuzingue ukate tamaa ila nna imani kuna wengine wanabahatishana humu humuWengi ukiwafuatilia atakuambia anapatikana Sinza ujue cheche hilo
demiVipi hawa wanaume wa mitandaoni? Una ushauri gani kwa sisi vigori?
Yes..demi
Ni ngumu kumesa... aisee mtandaoni ni shida atikwahiyo wapi sio cheche? point yangu ni ile ile humu tupo watu wale wale unaokutana nao mtaani mwingine hajaelewa nyimbo zako basi anaona akuzingue ukate tamaa ila nna imani kuna wengine wanabahatishana humu humu
hahaha kuwa gambler mzuri then maana kupata na kukosa yote ni gambling tuMapenzi ya mitandaoni ni kama gambling.
Kuna kupata na kukosa.kiukweli yamenishinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaSina la kusema, Asante JF narudia tena Asante JF you are great ooh!! mpaka ntaongea kichaga sasa Aikaa JF!! ...
Guys JF is real..if you are 100% real basi una fungu lako kama ukitaka!!