Nashukuru JF kwa kunipa girlfriend mzuri ambaye siamini nimempata JF

sawa mkuu..muda wowote natua PM ili tuyajenge...

Ila usiwe mke wa mtu mkuu.kuwa muwaz kama MBITIYAZA yeye aliniambia wazi kuwa alisha olewa.
Mbona mimi muwazi siku zote? Mimi ni mke wa mtu so come at your own risk!
 
Nimejiunga aug 2, nimeanza kuchat nae aug 3, tuko zaidi ya serious. Mungu ni mwema. This is true love. Hamna lisilowezekana kwa mungu. Naishukuru sana JFR.
Inasikitisha saaana,

yaan hata mwezi hamjamaliza,
 
Wengi ukiwafuatilia atakuambia anapatikana Sinza ujue cheche hilo
kwahiyo wapi sio cheche? point yangu ni ile ile humu tupo watu wale wale unaokutana nao mtaani mwingine hajaelewa nyimbo zako basi anaona akuzingue ukate tamaa ila nna imani kuna wengine wanabahatishana humu humu
 
Ni ngumu kumesa... aisee mtandaoni ni shida ati
 
Sina la kusema, Asante JF narudia tena Asante JF you are great ooh!! mpaka ntaongea kichaga sasa Aikaa JF!! ...

Guys JF is real..if you are 100% real basi una fungu lako kama ukitaka!!
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…