Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

30/31/32 mwisho wa suruali ninazovaa kama ni jeans.
 

Mnalisha maneno mtaalam wa watu Prof. Janabi. Yeye alikuwa anasisitiza kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kutokea mtu akiwa na unene uliozidi kiasi. Yaani kuwa na kiuno kinachozidi 40 inch. Hayo mengine wanasema wanasema wao. Si ya kutoka kwa mtaalam.
Halafu hawajui ya kuwa uwiano wa kibabu na kiuno ndiyo unao onesha nguvu yako ya kijinsia kama wewe ni gobole au machine gun.
Hata kwa nyie wamama uwakaji wenu unategemea uzito wenu. Tafakari chukua hatua.

Kwani wee dada angu mrembo kiuno chako ni shing ngapi or sorry inch ngapi?
 
nadhani hayo maneno ni ya muwasilishaji tuu,

ila pia muwasilishaji ana tatizo la afya ya akili kwaiyo ni vyema kumsaidia kuliko kumhukumu.
 
Siyo kwa sisi majiniaz tu, hata ufanisi wa kibabu ni kwa wenye uwiano huu mzuri wa angalau isizidi 1:6.
Mkuu kumbe ndiyo maana kila Ninayembandua anasema niko vizuri huku wakisema pia ni mwepesi tofauti na Waume zao? Nashukuru mno kwa kuwa na hiki Kiuno tukuka cha Size hii ya Kiafya kabisa ya 36.

ephen_ ana cha 51 sasa sijui akibandua Shemeji yetu huwa inakuwaje ila kwa hiki Kiuno chake nahisi anachapiwa sana Shemeji yetu.
 
Samahani! Wewe ni Mnene sana?
 
Wewe king of popoma usipofanya mazoezi utakuwa na hali mbaya sana.
 
Huyo asipokuwa na cha 69 basi ni cha 101.
 
Kiuno chako kile kitakuwa 34 unavuopenda kula kula

USSR
 
Kumbe na wewe ni mnene, bonge bonge flani'ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…