Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza kugawa Urithi wako mapema tafadhali.40inch dadeq, ngoja niandae jeneza kabisa pale Heaven Gate🤣
Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Na nasikia Geniuses wengi ndiyo huwa Kiuno chao / Size yao hii Mkuu je, kuna Ukweli wowote?
ww utakuwa bonge
nadhani hayo maneno ni ya muwasilishaji tuu,Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Mkuu kumbe ndiyo maana kila Ninayembandua anasema niko vizuri huku wakisema pia ni mwepesi tofauti na Waume zao? Nashukuru mno kwa kuwa na hiki Kiuno tukuka cha Size hii ya Kiafya kabisa ya 36.Siyo kwa sisi majiniaz tu, hata ufanisi wa kibabu ni kwa wenye uwiano huu mzuri wa angalau isizidi 1:6.
Samahani! Wewe ni Mnene sana?Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Hips na kiuno ni vitu viwili tofauti mkuuKwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.
Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
Wewe king of popoma usipofanya mazoezi utakuwa na hali mbaya sana.Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.
Chanzo: mwananchi_official
Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Huyo asipokuwa na cha 69 basi ni cha 101.Mnalisha maneno mtaalam wa watu Prof. Janabi. Yeye alikuwa anasisitiza kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kutokea mtu akiwa na unene uliozidi kiasi. Yaani kuwa na kiuno kinachozidi 40 inch. Hayo mengine wanasema wanasema wao. Si ya kutoka kwa mtaalam.
Halafu hawajui ya kuwa uwiano wa kibabu na kiuno ndiyo unao onesha nguvu yako ya kijinsia kama wewe ni gobole au machine gun.
Hata kwa nyie wamama uwakaji wenu unategemea uzito wenu. Tafakari chukua hatua.
Kwani wee dada angu mrembo kiuno chako ni shing ngapi or sorry inch ngapi?
Kiuno chako kile kitakuwa 34 unavuopenda kula kulaHii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Na hicho cha 51 chako? Sanasana utaishia Kujamba tu.Usijisifu kizembe! Nipe mkeo uone kama hajakuacha
Kumbe na wewe ni mnene, bonge bonge flani'ivi.Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Tusiandikie mate wakati wino upo, nipe namba yake atakuja kukusimuliaNa hicho cha 51 chako? Sanasana utaishia Kujamba tu.
Thubutu.....!!Tusiandikie mate wakati wino upo, nipe namba yake