Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

Hangera sana una kiuno cha nyigu
 
Huu uzi na usemi wa Prof janabi
Sahvi naona kuna watu wanakimbilia tape measure
Wanapimana sah wajue size ya viuno vyao πŸ˜„

Ova
 
Watu wapunguze viunp sasa kwa kufanya mazoezi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…