ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Basi kua na heshima na wanaume wenzako!Thubutu.....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kua na heshima na wanaume wenzako!Thubutu.....!!
Na anatoa 'Small' pia ukitaka.Kumbe na wewe ni mnene, bonge bonge flani'ivi.
Nilichoandika kinahusiana nini na umbo langu?Kumbe na wewe ni mnene, bonge bonge flani'ivi.
Hips Zina sababisha kiuno kiwe na uzito pia mwanamke akiwa na mata-ko makubwa husababisha kiuno kuwa kikubwa. 😃😃😃Hips na kiuno ni vitu viwili tofauti mkuu
Hips na kiuno ni vitu viwili tofauti mkuu
Nilichoandika kinahusiana nini na umbo langu?
Unatupa jiwe kizani?
Hiyo ni hips ndo zimebeba kiuno kwahiyo huyu dada kiuno chake ni size namba 43
Kazi Kwako....!! Umeyataka mwenyewe.Kuna nongwa gani dada etu mrembo ukituambia?
😛
Hiyo ni hips ndo zimebeba kiuno kwahiyo huyu dada kiuno chake ni size namba 43
Hips ni kiuno mkuu acha ubishi kama muha wa kigoma. 😃😃mzee hips hazikaagi kiunon.
Kazi Kwako....!! Umeyataka mwenyewe.
Tatizo wewe ni mbishi kama waha wa kigoma, hizo ni hips zimeshikiliwa na kiuno wewe huoni hata picha 😃😃😃😃Soma vizuri mchoro bro.
Friji la mtumba msaidie kujua tofauti
Hangera sana una kiuno cha nyiguMkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.
Chanzo: mwananchi_official
Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Unafosi uonekane hujisomi???????😄😄Hips ni kiuno mkuu acha ubishi kama muha wa kigoma. 😃😃
Watu wapunguze viunp sasa kwa kufanya mazoeziHii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Point yangu ni tofauti kabisa na viuno vyenu.Watu wapunguze viunp sasa kwa kufanya mazoezi
Ova
Ngoja nikaipigie Punyeto / Puri hii Picha kwani imekidhi Vigezo vyote vya Kupunyetiwa.
Kuhisi hisi na kujenga picha kichwani kumbe nalo ni tatizo!Nilichoandika kinahusiana nini na umbo langu?
Unatupa jiwe kizani?