Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu😀😀😀😀Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Hahaaaa hatari...mazoezi muhimu kukata wese.Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.
Chanzo: mwananchi_official
Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Janabi kwa kumuangalia anaonekana ana tatizo la afya ingawa kiuno chake ni chini ya 38.Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Shika Adabu yako Wewe sawa?Hangera sana una kiuno cha nyigu
12 tu.Hahahaha!
Na mwanamke anatakiwa awe na size ngapi.....?
HahahahaaUnafosi uonekane hujisomi???????😄😄
kuna uwezekanao huo, maana jamaa anasifika mitaani huko.Janabi kwa kumuangalia anaonekana ana tatizo la afya ingawa kiuno chake ni chini ya 38.
kuna uwezekanao huo, maana jamaa anasifika mitaani huko.
Mbona mnanichanganya 38?Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.
Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
Hanabi = JanabiHii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Na nasikia Geniuses wengi ndiyo huwa Kiuno chao / Size yao hii Mkuu je, kuna Ukweli wowote?
Hata mimi hakizidi 40 nadhani kinacheza 35-37, kiling'ang'ana kwenye 35 kwasasa minyoo nadhani imeongezeka kinaelekea 37Na nasikia Geniuses wengi ndiyo huwa Kiuno chao / Size yao hii Mkuu je, kuna Ukweli wowote?
Ndiyo 38 size ya kiuno.Mbona mnanichanganya 38?
Mbona kama umeteseka? Ni ushauri tu.Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic, walisema "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Janabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembamba lakini asiingize kujilinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Kuna watu wengi wembamba wana matatizo hayo hayoMkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.
Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.
Chanzo: mwananchi_official
Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Kwan janabi alisemajeHii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic, walisema "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.
Janabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.
Yeye aongee faida za kuwa mwembamba lakini asiingize kujilinganisha.
"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Sijakuelewa, nini kinitese?Mbona kama umeteseka? Ni ushauri tu.