Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

😀😀😀😀Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.

Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.

Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.

"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.

Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.

Chanzo: mwananchi_official

Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Hahaaaa hatari...mazoezi muhimu kukata wese.
 
Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.

Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.

Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.

"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Janabi kwa kumuangalia anaonekana ana tatizo la afya ingawa kiuno chake ni chini ya 38.
 
Hahahaha!
Na mwanamke anatakiwa awe na size ngapi.....?
 
Kwa maumbile ya wanaume inapendeza awe na size 38 mwisho lakini akiwa na 40 na zaidi sio mbaya ni maumbile ambayo amepewa.

Mwanamke anapendezea akiwa na kiuno size 38 mpaka 43 kwani wao wamejiwa hips
Mbona mnanichanganya 38?
 
Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic walisemi "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.

Hanabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.

Yeye aongee faida za kuwa mwembmba lakini asiingize kujiinganisha.

"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Hanabi = Janabi
 
Na nasikia Geniuses wengi ndiyo huwa Kiuno chao / Size yao hii Mkuu je, kuna Ukweli wowote?
Hata mimi hakizidi 40 nadhani kinacheza 35-37, kiling'ang'ana kwenye 35 kwasasa minyoo nadhani imeongezeka kinaelekea 37
 
Huyo Janabi mwenyewe nikimwangalia tu hiyo afya yake haijakaa sawa.sasa sijui anashauri watu kitu gani?
 
Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic, walisema "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.

Janabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.

Yeye aongee faida za kuwa mwembamba lakini asiingize kujilinganisha.

"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Mbona kama umeteseka? Ni ushauri tu.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya.

Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni changamoto, maana yake ana uzito mkubwa ambao unawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyo ya kuambukiza.

Janabi ameyasema hayo leo Julai 28, 2024 wakati akizungumza na washiriki wa NBC Marathon jijini Dodoma.

Chanzo: mwananchi_official

Haya akina adriz, Arovera, King Kong III, Bujibuji Simba Nyamaume, mrangi na Bila bila Marafiki zangu wenye Viuno kuanzia 43 hadi 49 huu ni wakati sasa wa ama kuvipunguza muwe kama Mimi GENTAMYCINE mwenye 36 au anzeni mapema sana kuandaa Vitanda vyenu pale Wodi za Mwaisela, Sewahaji na Kibasila Muhimbili National Hospital.
Kuna watu wengi wembamba wana matatizo hayo hayo
Vp umepima pressure, moyo, figo,ini, tezi dume?
Hapo ndo unaweza ukasema uko salama
 
Hii kauli ya Janabi imenikumbusha Titanic, walisema "hii hata Mungu hawezi kuizamisha", basi haijamaliza hata safari yake ya kwanza.

Janabi ajichunge na kauli yake ya kukufuru, aombe toba kwa Muumba wake.

Yeye aongee faida za kuwa mwembamba lakini asiingize kujilinganisha.

"Mungu hajaribiwi" - wahenga.
Kwan janabi alisemaje
 
Back
Top Bottom