Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Mwanaume ukiwa na Komwe bana akili hazikamati
 
Tafuta hela kijana, huyo dada anakuweka mjini na ndiomaana anakuendesha. Hata ukimuoa jamaa ataendelea kula KIMASIHARA so Kama unataka uishi kiume achana nae
 
Mnamdiss Mwamba skilizeni hii Ngoma ya I-octane inaitwa we found love( rising sun riddim),hasa verse ya pili inaelezea scenario kama ya jamaa yetu huyu!

Upendo ni Kitu cha ajabu sana! Biblia inasema Upendo unanguvu kuliko maji mengi.
Maji mengi
IMG_20221011_180750.jpg
 
Hahahahahaaaa,nimesoma huu uzi wako nikiwa nacheka yaan
 
"Love is a powerfull thing, takes you higher than a mountain, even if you are right you still want to say sorry"- I octane, we found love(rising sun riddim)
 
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Another man down

Life isn't fair
 
Mtoa uzi wewe ni DAYUTHI......Mwanaume dayuthi hatanusa hata harufu ya pepo
download.jpeg
 
Mnamdiss Mwamba skilizeni hii Ngoma ya I-octane inaitwa we found love( rising sun riddim),hasa verse ya pili inaelezea scenario kama ya jamaa yetu huyu!

Upendo ni Kitu cha ajabu sana! Biblia inasema Upendo unanguvu kuliko maji mengi.
Huo ni udayuthi sio upendo.

Mwanaume ukifikia hatua hiyo unakuwa umepoteza sifa ya uanaume!!
 
Back
Top Bottom