kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Dah haya maisha yanachanganya mpaka madishi yanayumba
Watu wanachanganyikiwa[emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah haya maisha yanachanganya mpaka madishi yanayumba
Kosa lilianzia hapaOf course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Duu! Kuna watu na viatuKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana.nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi.kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla.siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu.si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Mario na chai kwa mbaliHaupo sawa unahitaji msaada,Yani umfume bado umuombe msamaha,alafu umuoe....kha kunasiku atakwambia usirudi nyumbani sahiz nipo na ex wangu
Kaa chini natafakari sana maisha yako hasa uko mbeleni. Umeonyesha kukubali hicho kitendo je utakubali hata hukombele, kumbuka hakuna lolote litakalobadilika ukioa maana mtu na tabia ni yuleyule. Kama umeukubali huo udhaifu wake basi sawa, we endelea. Ila kitu kimoja tu shika, upendo huisha na kwakuwa dunia imefanya vile sio lazima nawewe ufanye. Misimamo yako ya leo ndio misimamo itakayoisimamia familia yako huko mbeleni. Ninani aijuaye kesho, ila kamwe usizembee kuweka msingi wa maisha yako. Mwanamke sio ndugu, ni partner au companion na hivi huisha. Tumia akili na hekima nasio hisia. Hisia huisha, acha kuweka furaha yako kwamtu mwingine, utaumia sana. Simamia nafasi yako ka mwanaume, tafadhali.Umeongea madini sana ndugu yangu. Nashukuru wewe muelewa. Wanaume wengi wa siku hizi wanapenda kudanganywa hii dunia ishajichokea. Dunia ina kitambi.... Bora mtu umpende tu uishi naye hivyo hivyo hakuna malaika. Na kama kukosea mimi ndo nlikosea kumshtukiza kwenda kwake. Lazima nioneshe uelewa.
Never settle for less kwasababu utajilaumu na kuumia sana mbeleni. Wote wenye hizo tabia wapo ila kucheat ni combination ya vyote. Ukiogopa kusimamia ukitakacho basi utabaki kujilaumu sana mbeleni. Kuoa sio lazima, ukimkosa mwenye msingi mizuri ya maisha acha tulia kwakuwa ukiendelea naye atakuvuruga kabisa hata hapo ulipo maana ataiharibu afya yako ya akili. Na bila afya njema basi huna utakaloweza fanya. Uzinzi upo, ila mimi si mzinzi basi sitakubali niishi mtu mzinifu maana itaniharibia msingi mzima wa maisha yangu. Ukikosa mtu sahihi wa maisha, achana na mahusiano lasivyo utalea familia mbovu huku ukiwa na uchungu, kama utaishi hivyo mpaka kuingia kaburini basi sawa ila kamwe usipige kelele. Ukiharibu msimamo wako ili tu kumpata mtu basi utaharibu misimamo yote ya maisha yako. Kuoa sio lazima mkuu!Huyo muoe kabisa..!
Watu wengi watakushangaa na kukuambia umuache utafute mwingine. Lakini mi nauliza... huyo mwingine ambae ni malaika na hana mtu utampata wapi? Si bora huyu mnajuana kabisa we na mwizi wako tena mnaweza ata kuanzisha urafiki.. ukienda kutafuta mwingine anaweza kua malaya zaidi ya huyu mwenye jamaa mmoja unaemjua! Na unaweza kukutana na ambae hana wanaume lakini ana kisirani, mgomvi, hana akili, mchawi, mchafu, mlevi nk... we tulia na zimwi lako hilo hilo unalolijua.