Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
- #101
Why utumie maneno makali hivyo?Bwege mtozeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why utumie maneno makali hivyo?Bwege mtozeni
Mpaka kuleta hii habari huku tayari anatatizo la akili. Ameonyesha deniability, hii ni dalili ya kwanza. The more anacontinue na mahusiano dalili zitaongezeka. Kupenda nilishasema kunaisha, yaani hata umpende vipi kutaisha. Usioisha ni upendo wa wazazi hata wa ndugu huisha. Mpaka umri huu unaweza muuliza amependa wanawake wangapi na bado akaachana nao, sio kutamani bali kupenda. So hisia huyeyuka in a blank, afya ya akili huletwa na amani na kwa mwanaume heshima huplay big part. Hivyo vitendo alivyofanyiwa vyote ni dharau, hio uleta mental problems kwa mwanaume. Upendo huisha, wanandoa hukiri.Kusimamia ukitakacho ni pamoja na kuoa mwanamke unaempenda na ndio anachotaka kufanya jamaa yetu hapo. Pia huenda huyo mwanamke ndio anampa afya ya akili, pengine akimuacha ndio afya yake ya akili itazorota na atachanganyikiwa kabisa! Haya maisha yana mambo mengi..
Hata kama sio sahihiKusimamia unachoamini.
Upo wapi dada.... Maana nsiandikie wino wakati mate yapo...unapatikana wapi?
Changamoto ya afya ya akiliKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Kuwa sahihi au si sahihi ni kwa nani? Ambacho ni sahihi kwako si lazima kiwe sahihi kwangu.na vice versa is true.Hata kama sio sahihi
Yako mahali pake, hakuna namna utaweka icing sugar kwenye 💩💩💩 utegemee yatakuwa kekiWhy utumie maneno makali hivyo?
Aisee .... Tuna kazi kubwa sana. Kila watanzania 6 wanne wana changamoto ya akili.Yako mahali pake, hakuna namna utaweka icing sugar kwenye 💩💩💩 utegemee yatakuwa keki
Mtanesco sijui alishapata kazi ya kumuweka busy, siku hizi haonekani humuNimejizuia kucomment ila nimeshindwa
Nikuuulize!!!
Wewe ni yule member Daktari wa meno aka Mtanesco?
Mimi nadhani tumuache afanye anachoona yeye kwamba kinampa furaha, na kama alivyosema yeye anampenda huyo dada na hapo ndio furaha yake ilipo.Mpaka kuleta hii habari huku tayari anatatizo la akili. Ameonyesha deniability, hii ni dalili ya kwanza. The more anacontinue na mahusiano dalili zitaongezeka. Kupenda nilishasema kunaisha, yaani hata umpende vipi kutaisha. Usioisha ni upendo wa wazazi hata wa ndugu huisha. Mpaka umri huu unaweza muuliza amependa wanawake wangapi na bado akaachana nao, sio kutamani bali kupenda. So hisia huyeyuka in a blank, afya ya akili huletwa na amani na kwa mwanaume heshima huplay big part. Hivyo vitendo alivyofanyiwa vyote ni dharau, hio uleta mental problems kwa mwanaume. Upendo huisha, wanandoa hukiri.
Kwa hiyo mkuu umeamua kukubali yaishe kwa maana ya kwamba hata ukimuoa jamaa awe anakuja kunyonya mate? Nadhani kuna tatizo kichwani mwako maana kea maelezo yako inaonekana huyo mwanamke hana msimamo maana hajaamua kumuacha huyo ex wake.Anyway,kubali kuendelea kuchapiwa saana.Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Uko sahihi kabisa ila viwango tu vinatofautianaAisee .... Tuna kazi kubwa sana. Kila watanzania 6 wanne wana changamoto ya akili.
Wewe ni YAHIRA siyo bure!!Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.