Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

JamiiForums1963408388.jpg
 
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
...We kweli Bado Mtoto! Yaani unakuta mchepuko wako unanyonyana ulimi na X wake wewe Bado unashangaa shangaa!
Tena unafokewa, na Unaka akusamehe na muendelee??
Hujitambui![emoji35]
Msiwe mnaleta humu Story za Kijinga kama hii!
Mnaidhalilisha JF....[emoji35]
 
We bwege sana. Kuna mtu alimfumania mkewe na akaja akamnunulia na gari kumwomba msamaha itakuwa mimi tu kumsamehe kwa maneno?
 
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Ana misimamo, mmojawapo ni wa kutoachana na bwana wa zamani! Oa haraka sana aongeze msimamo wa kuwa na mchepuko na usifuatilie nyendo zake.
 
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
upo ktk hatari ya kuua au jela
 
Aya sawa tumekusikia aya sasa nenda kapige punyeto ukimaliza hapo jifutie na boxa yako ifue ulale sawa...
 
Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.

Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.

Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.

Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.

Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.

Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
[emoji23][emoji23]Huna tatizo la akili kweli?
 
Back
Top Bottom