Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤮Kiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Itoshe kusema unatuzalilisha wanaume you sounds patheticKiukweli kama week mbili sasa sikuwa na amani kabisa wala furaha. Huyu dada nampenda sana na ni mwaka sasa. Nimeamua nimuoe. Of course nlimkuta ana mtu so nikatumia nguvu nyingi kumpata.
Sasa last week nlienda kufanya sapraiz kwake. Bahati mbaya nikamkuta na mwanaume wake wa zamani wananyonyana mate sebuleni. Nlishtuka sana nikawaomba radhi nikatoka kurudi home.
Baadaye nlimtafuta kwa simu akawa hapokei. Baada ya siku mbili ndo akapokea. Alinifokea sana kuwa nlimdhalilisha nitaendaje kwake bila kumtaarifu. Na hizo tabia za kishamba hapendi. Aliniambia wanaume huwa hawafanyi hivyo.
Kweli nlijisikia vibaya sana. Maana yeye alidhani nlienda kumfumania makusudi kumbe wala hata sikuwa na hiyo nia. Basi tu ilitokea bahati mbaya. Kiukweli kipindi chote napotaka kwenda huwa namwambia siku moja kabla siku ile ufala tu uliniingia. Nilijutia kosa langu kwa kweli.
Nimembembeleza sana mwishowe ameamua kunisamehe na kuruhusu tuendelee na uhusiano. Jaman nashauri msipende kusapraizi mtu si nzuri kwenye mahusiano.
Sasa tumerudiana na nimeshika adabu yangu. Huyu dada nachompendea pia ana msimamo sana so tumekutana watu wa misimamo. Mwakani nataka nimuwowe.
Mwanaume hawezi andikaItoshe kusema unatuzalilisha wanaume you sounds pathetic
How can you marry someone who cheats on you
There are plenty of beautiful ladies outhere watakao kurespect and truly deserved to be married.
Acha ujinga, Quit your nonsense GoBig explore the world someone interesting is just outhere waiting for you ......
DON'T BE TORTURED EMOTIONALLY ......UNACHUKIZA🙄
Once a girl cheat it's a different story....
Also a little advice for you....Mwanaume hawezi andika
Unatuzalilisha.
Pia huwezi ukatumia subject ya YOU na verb ya SOUNDS. if you don't know english don't use it.
Truly DESERVE to be married
Outhere❌
Out there✅
Kila mtu ana anachopenda na ikipenda roho mtu hula nyama mbichi. Mimi nimeridhika na wangu. Nina amani sina mateso. Nimependa. Hilo ndiyo la msingi. Tusipangiane maisha.
Not stuffs(there is no s even in plural). Only stuff. I am the one who should give you a piece of advice. Just use swahili.Al
Also a little advice for you....
This isn't a formal conversation that i have to check grammar and all kind of stuffs.....
Sometimes using fancy English words doesn't necessarily make you sound intelligent! Sometimes it makes you look arrogant and stupid
I am saying this because you used my mistake which turned out to be not a mistake at all as your sweet spot to sound smart!
Watu wengi walikuwa wanasema hatumalizi hata mwezi. Sasa ni miezi. Ni maneno ya kawaida tu ya binadamu tumeyazoea.Hiyo ndoa hamfiki kokote kwa misimamo yenu hiyo isiyo na mkia
I'd like to send you with a tostNot stuffs(there is no s even in plural). Only stuff. I am the one who should give you a piece of advice. Just use swahili.
I speak 5 different languages Don't try to act smart!Not stuffs(there is no s even in plural). Only stuff. I am the one who should give you a piece of advice. Just use swahili.
I'd like to send you with a tost
View attachment 2429281
I never thought you'd be that much dumb and fool. Find some stupid people to tell this.🤣I speak 5 different languages Don't try to act smart!
I am full of facts and I'll surprise u.View attachment 2429289
With these kind of arguments, you've just proved that u are one!
I'd like to send you with a tost
View attachment 2429281
Watoto wadogo wengi hawajui mapenzi. Na hawajielewi.safi sana,huo ndo uanaume sasa,manina
A fall of the brave man It's a victory of an idiot... ur an idiot and stupid no wonder you're still wetting your mom's bed.I never thought you'd be that much dumb and fool. Find some stupid people to tell this.🤣
Umetuzaririlisha❌mkuuu umetuzarilisha sana wanaume ,najua,huna kazi kama umesoma naomba,nikutaftie scholarship uende ugaibuni manake sio kwa kukosa,kazi huko aiseee