Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 492
- 925
Habarini wakuu
Back to the topic,Leo nimeamka zangu asubuh na mvua mvua za dar hizi plus uchovu wa Jana kwenye kuchek fainali ya Portugal..mzee nikajiandaa chap mida flan ivi ya saa mbili asubuhi niwahi kituo Cha daladala Ili niende zangu job .kufika nikapata daladala imejaza kinoma imetoka bagamoyo inaenda mbezi daah kupanda Ile daladala watu tumebanana shazi .asa katika kushika bomba bhna si nikawa nyuma ya mdada flan ivi daah yaan alivaa suruali flan ivi za kubana alaf na vile tulivyobanana na ukichangia na hali ya hewa ya Leo ya kiubarid flan Ile asubuh daah akawa kama ananisogezea mzigo yaan daah kila nikiukwepa wap sijui alikuwa anafanya kusudi yaan nilikuwa naomba Mungu huku nanenq Kwa lugha kimoyomoyo😂😂😂 nifike chap maana nilikuw nazuia nisidindishe maana sio Kwa msuguano ule ukichangia na kipururu nilicho nacho Cha miezi nne daah🙌🙌ashukuriwe sir God nilikuwa naaibika leo