Nashukuru Mungu amenisaidia nisiaibike Leo kwenye daladala

Mnajitakia laana kutaja jina la Mungu hovyo hovyo kwenye Mambo ya kipumbavu
 
Bla...bla..bla...daah....bla..bla..bla..
dah...

Yaani we jamaa kila mahali unaandika dah😅
 
Haya matangazo yamezidi sasa. Mkuu kulikua na haja ya kutaja miezi minne?
 
Pole sana mdogo mdogo wangu ni muda sasa wa wewe kupata mke uondokane. Na fikra za ngono hovyo hovyo.
 
Kwann hujagonga demu kwa miezi yote hiyo??? Hivi baadhi ya wanaume wenzetu mnashida gani?? Mnatunyonya sana wenzenu, au mnasali makanisa ya akina mwamposa? Shenzi kabisa nyie
 
Sema inategemea na mawazo yako wakati huo,, kwa mfano ungewaza kuwa siku yoyote nawe utatekwa upotezwe wala usingedindisha,, pole sana mdogo wangu acha kuwaza ngono wakati wote,,
Ewaaaaaa safi sana kijana, naomba kujua umri wako tafadhali
 
Vijana mlioko kwenye balehe mna shida sana, yaani badala ya kuwaza mambo ya msingi kila mwanamke unaemwona unamuwazia uzinzi.
Anyway kipindi hiki nacho kitapita, and you will one day start thinking positively about women you see!!
 
Kwann hujagonga demu kwa miezi yote hiyo??? Hivi baadhi ya wanaume wenzetu mnashida gani?? Mnatunyonya sana wenzenu, au mnasali makanisa ya akina mwamposa? Shenzi kabisa nyie
Mkuu sio kama machaka ya kumwaga oil hakuna nowadays Niko bize na harakat yaan daily hata mda wa kumseti demu sina na nikirud huwa nachoka sana
 
Vijana mlioko kwenye balehe mna shida sana, yaani badala ya kuwaza mambo ya msingi kila mwanamke unaemwona unamuwazia uzinzi.
Anyway kipindi hiki nacho kitapita, and you will one day start thinking positively about women you see!!
Kiongozi imetokea tu Leo Mimi sio Mtu wa kuwaza ngono sana🤝
 
Ndiyo maana tunasema reforms zifanye ndipo tufanye uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…