nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Hii ni kutokana na kuokoka siku kadhaa nyuma.
Kumbe wokovu ni mchakato, si kwamba ukiokoka leo basi leo leo vitendo, kauli, na fikra zinabadilika kwa ghafla. La hasha! Ni mchakato taratibu huku neema ya Mwenyezi Mungu ikikuongoza katika mabadiliko hayo kutoka giza kuelekea nuru.
Nimepunguza matusi, hii ni pamoja na kutenda na kunena. Kauli sasa ni njema; matusi zimepita siku kadhaa hayajanitoka kinywani.
Tena, kupiga kipara misambwanda zimepita siku kadhaa. Pombe na fegi nimeshasahau.
Bangi ndo kabisa sijalipuliza.
Hata nyimbo za kihuni hazina nafasi sasa; nasikiliza nyimbo za kuabudu.
View: https://youtu.be/W5nDAeEWvM0?si=UJe2wiAMk75GZk9n