Nashukuru nimeanza Mwaka 2025 vizuri bila makandokando

Mkeo mshamba sana.me sipekui simu ya mwanaume never. Wenzake wanadili na wallet yeye anatafuta stress
Haya akukufumania jeuri ya kuondoka anayo? Si atakaa hapo ndani bila kuoga mwezi ?
Natamani ungekuwa kungwi wake
 
Natamani ungekuwa kungwi wake
Yaani maana ya simu ya mkononi. Ni nini?
Mshamba Tu kutafuta maugomvi bila sababu .huo muda Bora akuibie hela kwenye wallet.ndo habari za mjini siku hizi
Unaibiwa Hadi nauli.ila wanawake ahaaa
 
Wengine tunashukuru tarehe moja inaisha hatujafanya uasherati
 
Usijisifu sana Mzee...kama ameanua haifiki valentine's hujadakwa
 
Mkeo mshamba sana.me sipekui simu ya mwanaume never. Wenzake wanadili na wallet yeye anatafuta stress
Haya akukufumania jeuri ya kuondoka anayo? Si atakaa hapo ndani bila kuoga mwezi ?
HILI NALO MKALIANGALIE
 
Hiii ni Kwa wajanja kidogo😂kama jamaako kutuma Email mpaka aende stationary huyo hamna shida we kagua simu ndogo, normal text & watsup
Kwenye email hawezi sense Ila kwa anaejua afu mesej ikapopup kitaumana

Kiufupii simu yangu hashiki mtu!!! Hashiki mtu!!! Hashiki mtu!!
 
Muhasibu huna baya...🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…