johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuomba msamaha siyo uoga bwashee!Tajiri haogopi deni bwa shee!!
Hali ngumu inasababishwa na marejesho ya mkopo? Namaanisha mkopo ukifutwa kutakuwa na unafuu gani kwenye "Cash flows" ya kiwanda?Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo uoga huo sababu amekubali yaishe. Jamaa asipokubali maana yake wale watumishi na kiwanda chenyewe ndio basi tena. Kisa b35 tu.Kuomba msamaha siyo uoga bwashee!
Sio rahisi China kufuta deni kama hilo.
Misaada ya China hua ni milioni kadhaa, kadhaa sio Billions.
Juzi hapa World Bank na IMF walishauri nchi tajiri kusamehe nchi masikini madeni wawapunguzie mzigo ili waweze kukabiliana na hali mbaya ya uchumi kwa sababu ya covid, China alikataa wakati nchi kadhaa walikua wako tayari.
China ni rafiki mnafiki. Mbaya zaidi serikali yetu inaonekana kumkumbatia mchina kwa sababu hawaulizi sera za hovyo za ndani.
Kiwanda kitaendeshwa na watanzania na kitatengeneza faida!Hali ngumu inasababishwa na marejesho ya mkopo? Namaanisha mkopo ukifutwa kutakuwa na unafuu gani kwenye "Cash flows" ya kiwanda?
Majibu tatanishi. Nani anafutiwa mkopo? Na nani anaendesha kiwanda kwa sasa? Mitambo iliyopo inamudu ushindani wa viwanda vipya vevye mitambo ya kisasa? na mwisho kwa kuwa CHAMA kimeshika hatamu na wewe ni mdau muhimu kwanini usishauri hiki kiwanda kihamishiwe huko huko pamba inakozalishwa kwa ajili ya kupata "CHEAP LABOUR"?Kiwanda kitaendeshwa na watanzania na kitatengeneza faida!
Makusanyo yote ya TRA hamuwezi kutoa dola 15mil za kulipa deni mchina?Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!
.Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!
Kama TRA inaweza kuilipa Chadema ruzuku ya mabilioni ya shilingi haishindwi kulipa sh bilioni 35 za mchina ila Kupanga ni kuchagua!Makusanyo yote ya TRA hamuwezi kutoa dola 15mil za kulipa deni mchina?
Kikirudi kwenye mikono ya watanzania kwa 100% utakuwa ni sawa na kuchomoa mashine ya oxygeni kwa mgonjwa mahututi. Ndio kitakufa kabisaaaaKwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!
Lakini sisi ni dona kantri bro, kwa nini tuombe heri kwenye mkopo? Tukomae tulipeKuomba msamaha siyo uoga bwashee!
Washauri hapo basi hapo Ikulu wapunguze kutembeza bakuli la kuomba ombaKama TRA inaweza kuilipa Chadema ruzuku ya mabilioni ya shilingi haishindwi kulipa sh bilioni 35 za mchina ila Kupanga ni kuchagua!