mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
"DAWA YA DENI KULIPA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku China watatangaza bandari ya Dar es Salaam iko chini yao kwajinsi tunavyompenda kwa mikopo yake. Hili la kusamehe deni la Urafiki yule waziri kaahidi kulifikisha nchini kwao lakini naamini jibu litakalotoka ni hapana.Sio rahisi China kufuta deni kama hilo.
Misaada ya China hua ni milioni kadhaa, kadhaa sio Billions.
Juzi hapa World Bank na IMF walishauri nchi tajiri kusamehe nchi masikini madeni wawapunguzie mzigo ili waweze kukabiliana na hali mbaya ya uchumi kwa sababu ya covid, China alikataa wakati nchi kadhaa walikua wako tayari.
China ni rafiki mnafiki. Mbaya zaidi serikali yetu inaonekana kumkumbatia mchina kwa sababu hawaulizi sera za hovyo za ndani.
Hivi ni TRA au hazina ndiyo yenye jukumu la kulipa ruzuku kwa vyama vya siasa?Kama TRA inaweza kuilipa Chadema ruzuku ya mabilioni ya shilingi haishindwi kulipa sh bilioni 35 za mchina ila Kupanga ni kuchagua!
Kwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!
Kuomba msamaha siyo uoga bwashee!
Uwekezaji kwenye viwanda haukutosha kukifufuaKwa kweli kiwanda cha Urafiki kina hali mbaya sana na watumishi wake hawajalipwa mishahara kwa miaka kadhaa sasa.
Hivyo ombi la kufutiwa deni la Dola Milioni 15 ambalo Tanzania inadaiwa likikubaliwa basi kiwanda hicho kitarudi mikononi mwa Watanzania na wafanyakazi wa Urafiki haki zao zitazingatiwa.
Rais Magufuli amesisitiza japo China hawanaga utaratibu wa kusamehe madeni ana imani ombi letu litaangaliwa kwa jicho la kipekee.
Maendeleo hayana vyama!