Nashukuru Rais Magufuli kuiomba China itufutie deni la Kiwanda cha Urafiki pale Ubungo!

Ipo siku China watatangaza bandari ya Dar es Salaam iko chini yao kwajinsi tunavyompenda kwa mikopo yake. Hili la kusamehe deni la Urafiki yule waziri kaahidi kulifikisha nchini kwao lakini naamini jibu litakalotoka ni hapana.
 
Kama TRA inaweza kuilipa Chadema ruzuku ya mabilioni ya shilingi haishindwi kulipa sh bilioni 35 za mchina ila Kupanga ni kuchagua!
Hivi ni TRA au hazina ndiyo yenye jukumu la kulipa ruzuku kwa vyama vya siasa?
 
Dawa ni kulipa bwashee achen kupenda vya bure
 
Uwekezaji kwenye viwanda haukutosha kukifufua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…