Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

Rosemin

Member
Joined
May 21, 2023
Posts
70
Reaction score
532
Hello babies,

Si mnakumbuka kuna siku nilikuja hapa like waaaoh, nikaleta story za kutafuta mume? You know babies basi bwana kwenye DM yangu ikamwagika weee meseji kibao zaidi ya mia mbili hivi you know.

Basi akijtokeza mbaba mmoja hivi jina nalihifadhi, akanitumia meseji moja moja aisee niliripuka kwa shaangwe waao baby, akanichombeza kweli kweli nikasema mimi ni nani mpaka nikatae?

Jamaa ni bosi hapo kwenu ukimani kwenye kampuni hivi I don't if as karubandika I don't care what I see ni mapenzi yangu kwake tu.

Tumepanga ndoa tutafunga huku London na sio huko ukimani kwenu, kwanza huko kwenu kunatoa harufu, kwa mfano hapo kwenu Dar es Salaam kunatoa harufu balaa.

Karibu kwenye ndoa.
 
278919118_1093603897885924_6157812142717961832_n.jpg
 
Sio kweli,mbona Mimi ni neno langu pendwa balaa🤣🤣🤣au nijikague
Hujajishtukia tu kuwa wewe si wa kawaida?

Jike lina roho ngumu ya kuweka mkeka zaidi ya midume? Upo katika hiyo asilimia tatu nilioacha.

Acha kulitumia. Balaa ni neno la kiume. Na bahati mbaya sana hutokei Arusha kule kwetu, kwa wanawake wenye mienendo ya kiume.

Jikague mzee.
 
Oooooh washayatimbanga huku Joanah
 
Back
Top Bottom