Nashukuru sana JamiiForums imenipa mume

Mwanamke mpumbavu ataibomoa ndoa/ nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Zingatia neno hilo maana hapo nimeanza kuona dalili za kuibomoa ndoa yako
 
Nimekuja kwa shangwe nikupongeze kupitia heading ya thread ila yaliyomo yamenichosha.

Haya mwenzetu, kulikoni ukose mwenza huko UK uje kumtafuta huku ukimani?
Aliyeko ukimani nae si kima?
Kama ni kweli huyo mwanaume sio mzima hadi kukuahidi ndoa, it's either wewe ndio unadanganya hapa (huna huyo mwenza) au yeye ndio anakudanganya.
 
Habibu ally selemani haa mym
 
🤣🤣🤣Shida zako ni nyingi nazibeba,utakuwa unawakimbiza sana huko M bet

Wengine ni wa kuwapuuza tu

Sasa kama huyo Dr Restart anatokwa povu la nini...shida nini wewe ukitumia neno balaa?yaani neno balaa likuweke kundi la wanaume kweli?

Na anawashwa wapi mimi nikiweka mikeka dadeq zake huyo pimbi
 
Eeeeeh ndio maana nilikuita Cha ukorofi nilijua lazima uamshe popo🤣🤣

Hebu anipishe huyo daktari uchwara
Halafu kama umegundua siku hizi am trying kuacha ukorofi manake sio mambo yangu kiivo ila ndio vile watu wa humu ni kujitoa ufahamu tu ili usurvive
 
Au vyote kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…