Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Huyo hana shida, hata ukitaka umpeleke mwangata, mianzini, uhindini, kihondombi anaenda tu binti yangu hana tatizo na wenye akili , ungekua kilaza hapa ningeshakusagia kunguni uanze kububujikwa na machozi ya hasira.
HongeraKwa Sasa Mimi sio mwenzako Mkuu.
Pesa inaongea
Asante sanaHongera
Hongera Sana
Tunaakili sana japo hunizidi
Nimeona kitu kimoja tunafanana kutokuangalia habari za video
kuna MUDA unamshangaa mwanaume anasema naenda kuangalia habari ya saa mbili ITV
Rasta -tunapenda kusoma na sio kutazama
Kwa hiyo kwako hayo ni machache?Msije sema nimeandika mambo mengi kisa nimetambuliwa π π
Kwa hiyo kwako hayo ni machache?
Aisee Mungu asaidie usiwe na maneno mengi hv kwenye jamii yako!
Hongera Sana Robert Heriel Mtibeli .Napenda baadhi ya maandiko yako.Umestahili hiyo tuzo.
Nitasoma kesho ila hongera ..nyuzi zako huwa zinachosha ukianza kusoma mwanzo ila deep una kitu ..keep it up.
Ngoja niliangaliekuna swali hujalijibu kutoka page ya kwanza "jamaa kauliza ulijuaje walikutumia e-mail au waliku PM?"