Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
hamis77 Castle_Lite tupeni mwanga zaidi
Ahsante kwa huu mwangaza mkuu.Muhamad alikuwa sawa na Hawa manabii wa kibongo wahuni ,wakimtamani mke wako ,wanakwambia wameoteshwa
Hiyo mbinu muasisi ni mudy
View attachment 3546954
Maneno mengi, Aya nyingi zilizo kwenye Quran leo sio maneno ya Mungu ila mawazo tu ya muhamadi ,alikuwa anajishushia Aya
Chukua mfano wa Aya hii kwenye Quran 33:53.👇👇
Kuna kijana aliyemwona Baba Mtu kamwoa katoto ka miaka 6;
Baada ya miaka michache alipokuwa amebalehe Aysha, kijana huyu aitwaye Twalha akampenda Aysha. Akawa anawaambia watu, akifa Muhammad mimi nitamwoa Aysha.
Zile taarifa zilipomfikia Muhammad ndipo naye akaja na Aya akajishushia , maneno haya eti yametoka kwa Mungu.
Wakati huu Muhammad alikuwa amemposa First cousin wake , ZAINAB bint Jarsh, ambaye zamani alikuwa mke wa mwanawe wa Kufikia ZAID..
Sasa Twalha akawa amemwona Muhammad amemwoa mtaliki wa Mwanawe, basi naye akawa anajiandaa Kumwoa Aysha atakapokuwa amekufa Muhammad.
Hapo ndipo timbwili likaibuka...
Muhammad kwa kuwa alikuwa na wivu juu ya wake zake, hao ambao alikuwa akiwatembelea wote kwa zamu usiku mmoja hakutamani waolewe na mtu mwingine, ili watakapofika peponi asiwe mwenye ku share wake zake na mwanamme mwingine kama Twalha; ila wawe wake tu pekee yake pamoja na kuwa yeye ndiye ataye mwoa Maryamu mamake Issa ,maana Peponi Muhammad atakuwa Baba wa Kambo wa Issa 😄 .
Sasa Muhammad akaja na Aya ya kudai Wake zake na Mama za Waumini na kamwe tusiwaoe hata baada ya kifo chake.
"Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa Mwenyezi Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo hilo ni kubwa mbele ya Mwenyezi Mungu"
Mungu anasema katika Biblia, kwamba Mwanamme anapokuwa amekufa mjane wake ana haki ya kuolewa na mwanamme yeyote yule .
Muhammad kwa kujipenda anadai wake wake ni special. .
Akifa, aysha alikuwa ndio bado msichana wa Miaka 18. Maskini ikabidi amelazimika kuishi maisha ya ujane hadi kifo chake ili aende kuwa mke wa Mjomba Peponi. !!
Muislamu zinduka Sasa, neema engalipo