Nasikia anayeandaliwa 2030 ni Simbachawene

Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
Acheni kuwa na Kiherehere cha Kutaja Watu kisha mkaja Kuwaponza na hata hiyo 2030 yenyewe wasifike. au mnataka yale ya Deo Filikunjombe aliyekuwa ameshaandaliwa kwa 100% kuja kuwa Waziri Mkuu yamkute Kiumafia na huyu wa sasa? Kazi yangu ni kuwataka tu kuwa makini kwani Tanzania ni Kubwa ila ni ya Watu wachache sana Waliojimilikisha.

Hapa mnawapa Mafia wa nchi hii ambao wameshamuandaa Mtu Wao Ili Kuwalinda na Upigaji ( Rushwa ) waanze Kumuwinda na hata Kumuondoa mazima kama Nduguye wa Kisukuma ( japo ni Msubi ) wa tarehe 17 Machi, 2021. Ina maana bado hamjajifunza tu au mmeamua Kujizima Data? Shauri zenu ila kuweni makini na Viherehere vyenu hivi.
 
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.

Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa.

Hongera Simbachawene, Mungu akutangulie.
MLN
 
Naona Simbachawene kajianzishia Uzi, kiukweli utoboi mara mia Mwigulu kaanzisha tozo wewe sijui umeanzisha Nini Cha kukumbukwa.
 
Si mlisema chuichawene alikuwa utingo, imekuwaje tena utingo kuwa prezdaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…