LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga)
Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa sub alienda vyumba vya kubadilishia nguo akabadilisha nguo kisha akaingia kwenye gari lake dereva akatekenya Aziz huyo aka " yeya" hata kabla mechi haijaisha.
( Ndio maana imeandikwa amelaaniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu.
Amfanyae mwanadamu kuwa kinga yake. MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA MMELAANIWA KWA SABABU MMEWAFANYA WACHEZAJI WA SIMBA KUWA miungu WA FURAHA ZENU.
WAO NDIO WANA AMUA NINYI MUWE NA FURAHA AU MSIWE NA FURAHA. NDIO MAANA WANA WALETEA MIYEYUSHO KWA SABABU WANAWAONA MABWEGE. MNAWATUKUZA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU KULIKO WAALIMU KULIKO MADAKTARI ETC. NA BADO MAFI YENU)
Jamaa anasema, wanayanga wana suspect kwamba " Wazee wa Yanga ndio wanao muhujumu Injinia kwa sababu kijana mdogo kapata mafanikio makubwa sana kushinda wao anawachoresha"
(Ndio maana nasemaga ni uzwazwa kuwa shabiki wa mpira wa miguu)
Acha ushabiki wa mpira wa miguu Yanga na Simba ubaki jambo ulilokuwaga unalifanya zamani ulipokuwa mtoto ( Like miaka ya tisini ilikuwa hunikosi uwanjani Yanga/Simba wakicheza)
Usiwe kama mwendawazimu. Ada ya kusomesha watoto wa mke wako ikupe stress na Yanga wakupe stress pia hivi hujioni wewe umjinga kiasi gani.
Goli kafungwa Diara kuumia uumie wewe! DUH yani ningekuwa karibu yako ningekupiga bonge la kelebu.
Ushabiki wa Simba na Yanga ndio unawafanya ambao sio wasomi kuwadharau enyi wasomi kwa sababu wote mnashabikia mambo ya ujinga ujinga tu. Hamna tofauti.
Moderator MAREKEBISHO PLEASE: " isomeke "NAKUONDOKA" badala ya " NAKUANDIKA"