Tetesi: Nasikia fagio laelekezwa kwa Amos Makalla

Tetesi: Nasikia fagio laelekezwa kwa Amos Makalla

Attachments

  • IMG-20240730-WA0063.jpg
    IMG-20240730-WA0063.jpg
    64.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240730-221218.png
    Screenshot_20240730-221218.png
    198.9 KB · Views: 2
  • IMG-20240730-WA0055.jpg
    IMG-20240730-WA0055.jpg
    47.5 KB · Views: 2
Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.

Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.


Yajaaayo....
Na iwe hivyo !
Waswahili husema akumulikaye mchana usiku atakuchoma !
Mama kaa chonjo !
Shilia hapo hapo! Wengine wanakuchekea jino pembe usiwaamini hata kama mlikuwa maswahiba zamani !
Mifano ulishaiona kwa wengine 👍🙌
 
Sasa ni rasmi hii ni "Vita kati ya Zanzibar na Tanganyika".

Taratiiiibu mtamuelewa tu Tundu Lissu
Hakuna vita hiyo bali ipo ya watoto wa mjini na wale ambao wanaonekana wa kutoka shamba !

Ngoja wa mjini wanyoroshwe wamezowea kutukana watu wazima !!
Nguvu ya Mamba kumayi !
Nje ya maji ni mjusi tu !
 
Ccm inajila ndani kwa ndani kama tanuru la Mkaa, mwishowe ni Mbwai Mbwai, Bora tu support chadema tu
 
Back
Top Bottom