ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Kwikwikwi ngoja tuone hii movie 🎥Kwikwikwi
Pipe dream
Mpaka 2025 wahuni wote watakuwa wanapumulia mashine !
Polepole anarudi ndani ya Nyumba @#kataa wahuni !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwikwikwi ngoja tuone hii movie 🎥Kwikwikwi
Pipe dream
Tuombe kwa MunguAisee
Siku hazigandi !Lakini in the end inasemekana walifanikiwa kumtrap. Hao hao wajinga wajinga walimwingiza kingi?
Huyu ilikua ni muda tu maana huwezi kumtenganisha na na February na MsogaTogolani Mavura jumba mbovu nae linamuangukia
Wewe Mtu kama Nyumba tu aliyozaliwa Kawe na ya Marehemu Baba yake iliyo nyuma ya Hoteli ya Mama Tajiri wa Kihaya mwenye Mume Afisa Jeshini ( JWTZ ) iitwayo VICTORIA ameshindwa Kuikarabati na imejaa Panya wa Malawi, wa Dar es Salaam, Kunguni na Matanda Bui kila Kona huku wanywa Gongo wa Jirani na hiyo Nyumba sometimes wakiingia humo ndani na Kuukweka Koridoni unadhani huyu Mtu yuko sawa sawa kweli Kichwani?
Huyu nae kipenzi cha Born Town, labda hana makundi.Togolani Mavura jumba mbovu nae linamuangukia
Hata miminlipokuwa naisoma nilifikiri ni Britanicca kaandika. Nilipoona andiko lako ilbidi nirudi nyuma kuangalia mtoa UZI - Sio Britanicca! Looooooo nikajua ni porojo tu. Sipotezi muda hapa, nimeingia kimakosa. Kwaheri!
You can't beat a humans brain. Na pia liliwezekana sababu kulikuwa na virus kwenye cycle ya yule mzee ndiye alifanikisha hilo.Lakini in the end inasemekana walifanikiwa kumtrap. Hao hao wajinga wajinga walimwingiza kingi?
Yes he was cornerned bro. He got caught unsuspectingYou can't beat a humans brain. Na pia liliwezekana sababu kulikuwa na virus kwenye cycle ya yule mzee ndiye alifanikisha hilo.
Yeah watu wakiamua lao una vanish, watapata gepu tu then bang, you're goneYes he was cornerned bro. He got caught unsuspecting
How?What i can see here she is still have a card to play,but only if she play it cool,otherwise things are not well on her side...
Play smart,don't panic,be calm....How?
CCM ni kusanyiko la mahasimu na waovu.Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.
Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.
Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
Yajaaayo....