Tetesi: Nasikia fagio laelekezwa kwa Amos Makalla

Kuna kitu kinaitwa "Learning the hard way" ndio anapitia bi.mkubwa. Mwendazake alikuwa smart sana kuwasoma wajinga wajinga.
Tatizo bosi walimpandikizia hizo fitina, kumbuka akiwa VC alimchukia sana Msukuma wa watu kiasi kwamba mpaka akawa anamropokea anamtesa na aliamini hivyo, kumbe hiki kikundi cha wahuni kilifanikiwa. Uzuri sisi tusiokuwa na macho tulimjulisha toka mwanzo kabisa na walianza na show off ya kumfanya aone kama vile alitaka kuuawa etc wakampeleka Tanga, etc, baada ya hapo wakamwambia Msukuma alikuwa hapendwi so kuaga iwe siku chache tu ila walivyoona watu wengi wakabadili gia. Ila yeye aliendelea kuamini msukuma alikwa simba wa yuda. Ila sasa yamemtokea puani na mi naona keshachelewa sana tena sana maana uchaguzi ndani ya CCM una watu wa hilo kundi na ndiyo maana kila aliyekuwa mfuasi wa mama alinyimwa kabisa ushindi ndani ya chama. Kibaya kabisa kabisa mama hakufuata ushauri wa hapa JF, alidhani sisi wa msukuma ni watu wabaya. Sasa unakuta mama hakuna mpaka sasa anayemuunga mkono, siyo wabunge wala wananchi amebaki na ka kikundi ka watu wachache sana. Nadhani kwa hali ilivyo hatoboi, sababu kubwa ni kuachia tatizo dogo na kuwa kubwa. Akumbuke wenzake walimtega toka kifo cha msukuma badala ya kujisalimisha kwa waendesha nchi akajisalimisha kwa kundi lile baya kabisa na likamuweka kati
 
ishakula kwake, atabaki kulilia chooni tu
 
Kiufupi ameyatimba, wale vijana wa anaupiga mwingi washamuingiza chooni😂 kaanza kuwatupa mmoja baada ya mwengine
 
Nasikia fagio la Mama laelekezwa kwa Amos Makalla.

Inasemekana ni askari mtiifu wa Msoga na aliwekwa na Mzee Kinana.

Pia soma: Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

Yajaaayo....
Kweny huu utawala tutegemee wa visiwani wengi wataula sisi wa bara tuwe wapole na hili ndilo mwanzo wa anguko la CHURA KIZIWI …. Kwa maana kuna kundi lita amka upande wa bara kwahiyo kutakuwa na vita vya pande mbili (bara vs visiwani) ndugu zangu tuendelee kunywa mtori kwanza …….
 
Tatizo bosi walimpandikizia hizo fitina, kumbuka akiwa VC alimchukia sana Msukuma wa watu kiasi kwamba mpaka akawa anamropokea anamtesa na aliamini hivyo, kumbe hiki kikundi cha wahuni kilifanikiwa. Uzuri sisi tusiokuwa na macho tulimjulisha toka mwanzo kabisa na walianza na show off ya kumfanya aone kama vile alitaka kuuawa etc wakampeleka Tanga, etc, baada ya hapo wakamwambia Msukuma alikuwa hapendwi so kuaga iwe siku chache tu ila walivyoona watu wengi wakabadili gia. Ila yeye aliendelea kuamini msukuma alikwa simba wa yuda. Ila sasa yamemtokea puani na mi naona keshachelewa sana tena sana maana uchaguzi ndani ya CCM una watu wa hilo kundi na ndiyo maana kila aliyekuwa mfuasi wa mama alinyimwa kabisa ushindi ndani ya chama. Kibaya kabisa kabisa mama hakufuata ushauri wa hapa JF, alidhani sisi wa msukuma ni watu wabaya. Sasa unakuta mama hakuna mpaka sasa anayemuunga mkono, siyo wabunge wala wananchi amebaki na ka kikundi ka watu wachache sana. Nadhani kwa hali ilivyo hatoboi, sababu kubwa ni kuachia tatizo dogo na kuwa kubwa. Akumbuke wenzake walimtega toka kifo cha msukuma badala ya kujisalimisha kwa waendesha nchi akajisalimisha kwa kundi lile baya kabisa na likamuweka kati
Unajua mpaka mimi mfuasi wa kiboko ya wachawi huruma ilinishika sanaaa sanaa dah masikini kizimkazi
 
CCM ina wenyewe acha inyeshe tujue panapovuja. Ngoja wenyewe waje....
Wenyewe kabisa walishawekagwa pembeni kitambo na wapigaji wanaoitwa Watoto wa mujini !
Sasa yamewageukia !
Mama yupo na wale waliowekwa pembeni na mimi nikiwemo 😅😅🙌👍
 
Back
Top Bottom