GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
leo kaja na code ngumu babaakeKaka leo sijakuelewa.
Umeshaambiwa chura ni kiziwi tu, ila anaona vizuri. Sasa wewe jichanganye!Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
Kwenye hilo duka la jirani kama kuna madera, achukue matatu ya rangi tofauti! Nitalipia.Popoma pita duka la jirani chukua kanga mbili na kitenge uvae. Nitalipia.
Auto pilot mode. #SSHYuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
Hata yeye atakuwa anafuturu muda huu.Gari +actress + November = aisee ngaja kwanza nifuturu