Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa Ubungo na Kagera...

Kila memba wa kundi hili alijulikana kwa jina lake plus Matembo yani kama MTU aliitwa X basi angejulikana kwa jina la X Matembo..

Tetesi kitaani zinasema Hamidu Matembo kiongozi mkuu wa Matembo wa Ubungo amekatwa mguu mmoja.

Chanzo cha kukatwa mguu inasemekana walienda " kiwanja" ( kuvamia) Hamidu akapigwa mkwaju wa mguu jambo lililopelekea Hamidu kukatwa mguu wake baadae kwa sababu inasemekana alichelewa kuupeleka hospitali kutokana na mazingira ya tukio..

During his prime Hamidu Matembo alitesa sana watu ..

Mpaka sasa bado sijathibitisha kama tetesi hizi ni za ukweli au vinginevyo though nimezipata muda mrefu kidogo
 
Ati Heri mzozo naye baadaye akaja kuwa kocha wa Kagera rangers wale matterqo walikuwa wanajiona sana na kile kituo cha daladala cha ubungo mafi yao.
Hivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka
 
Hivi Hero Mzozo yupo?Somebody told me amekuwa MTU wa mkeka

Mzozo yuko na friends Ranger yake, ila pia anauhusika fulani na Azam siunajua tena yeye ni moja ya waanzilishi wa Azam yuko karibu kiasi na watoto bakhressa..
Issue za Hamidu Kalapina anaweza kuzijua vizuri maana kunakipindi katikati miaka ya 2014/15/17 walikuwa marafiki sana kati ya Kalapina, Hamidu na marehemu Thomas Mashari..Japokuwa kuna kipindi nilisikia Hamidu yuko Segerea..
 
Hamidu alikaa Segedansi kama miezi minane hivi.Nadhani ilikuwa mwaka 2015.Alimdhulumu laptop bro mmoja hivi MTU wa system halafu alikuwa na affiliation na watu wa doxii.Jamaa akamletea wazee.Alikaa ndani muda mrefu sana.Hata baba ake Mzee Njohoka wakati anavuta hadi anaenda kuzikwa kwao Songea ,Hamidu alikuwa Ndichi
 
Khaaa!bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…