LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa Ubungo na Kagera...
Kila memba wa kundi hili alijulikana kwa jina lake plus Matembo yani kama MTU aliitwa X basi angejulikana kwa jina la X Matembo..
Tetesi kitaani zinasema Hamidu Matembo kiongozi mkuu wa Matembo wa Ubungo amekatwa mguu mmoja.
Chanzo cha kukatwa mguu inasemekana walienda " kiwanja" ( kuvamia) Hamidu akapigwa mkwaju wa mguu jambo lililopelekea Hamidu kukatwa mguu wake baadae kwa sababu inasemekana alichelewa kuupeleka hospitali kutokana na mazingira ya tukio..
During his prime Hamidu Matembo alitesa sana watu ..
Mpaka sasa bado sijathibitisha kama tetesi hizi ni za ukweli au vinginevyo though nimezipata muda mrefu kidogo