Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

Du ilikuwa noma.Ehee ikawaje?
 

Watoto wa mama Mashaka
 
Hongera kulikuwa na Bugando sec mahasimu wa Geseco shule ya bush huko nzera Geita ila matukio yake si kitoto..miaka ya 90--2000, nakumbuka miaka ya 2002-2004 hapo kama sikosei lilitokea vagi moja wakapiga walimu, wakabaka baadhi ya watoto wa walimu na kuchoma moto shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…