Nasikia harufu ya Chid Benz kurudi tena kwenye chat

AENDE AENDAKOOOO KULE LAZIMA ARYDI KULA VYUMAAAAAAA..ANA MSIMU
 
Roma kafunika mbaya......chid benzi anaimba kama underground mkongwe 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
Chid ni yule yule, mkali siku zote, shida unga, aache unga mtamuona chid yule yule wa mashaallah, daresalaam stand up n.k.

Alikuja na muda ft q chief, mbona ngoma ilikuwa kali tu, shida unga, aache madawa, ndioa adui wake.
Naunga mkono hoja..
 
Unaitwaje nidanilodi...sometyms sio vibaya kulisha ubongo matusi mapya
Sio nidanilodi, ni nidaunlodi🤣
Sio sometyms ni samtaimz.😂

Shule mlienda kusomea ujinga. 😂🤣


Habari ni kwamba ile dua ya kumuondolea kigiza fundi wa kimakonde, konde boy asiyekohoa, bwana miquissone inaendelea vyema kabisa, game ya leo ni kipimo tujue tuongeze dua au tufunike kombe kabisa, tuhamie kwa kramo.. Atakaewagusa hayumo, tunampeleka kikundu juu..
😂🤣
 
Umenikumbusha ya bibi feiza foxy
 
Naam kakaza japo siyo kwa ubora wake tunaomjua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…